Kaui, Titus M.
(Kenyatta University, 2015)
Tanzu za riwaya na hadithi fupi kimsingi huandikwa ili kusomwa, bali siyo kuigizwa. Kwa muda wa miaka kumi na mitano hivi wasimilishaji wamefanya juhudi kuigiza tungo za kinathari za fasihi ya Kiswahili. Hali ya kuziigiza ...